YEVGENY PRIGOZHIN KIONGOZI WA WAGNER ALIKUWA MHALIFU

YEVGENY PRIGOZHIN KIONGOZI WA WAGNER ALIKUWA MHALIFU

Mbabe wa kivita wa Urusi Yevgeny Prigozhin anaaminika kufariki baada ya ndege yake kuanguka chini katika ajali inayowaka. Watu kumi – wakiwemo wapiganaji wa Wagner na naibu Dmitry Utkin – wanasemekana kuwa miongoni mwa walioangamia. Prigozhin alikua...